Brother Nape kaulizwa maswali haya na watu wake wa karibu ambao huwa anachati nao mara kwa mara kwenye face book lakini hajajibu
Tupe yaliyojiri mwanza kaka!
whtsup in mwanza?
Naomba Nape uishauri serikali yako sikivu ya CCM iwalipe Wazee wa Eas Afrika Community kwanza ndipo tuangalie uwezekano wa kulipa DOWANS
wachafuzi ndani ya chama washughulikiwe,CHAMA SI CHA MTU MMOJA WALA KIKUNDI BALI NI MALI YA WANACHAMA WAAMINIFU,WENYE UCHU WA MADARAKA WANGATUKE CCM
CCM TUTAENDELEA KUSHINDA,SERA YETU SI MATUSI.
Ni kituko kwa katibu mwenezi kutamka hadharani kwenye mkutano wa chama tena chenye mwenyekiti ambae ni Rais wa nchi,imagine mtu na mic anatamka mnashikishwa ukuta!!!!
Chama cha sisiemu hakina matusi kweli