Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 687
WriwAKwWakuu nimeingia FB nikakutana na ujumbe huu kutoka kwa Mh. Nape. Pamoja na maoni ya FB Friends wake, nawawekeeni jamvini mpate kujadili hiyo kauli
[h=6]Nape Nnauye
[/h][h=6]Kujivua gamba!!... Zipo hoja za madai kuwa zoezi halijafanyika kabisa!.. Hivi Kamati Kuu ilipojiuzulu yenyewe na Sekretariete iliyopita mwezi April 2011, ilikuwa nini kama sio kuonyesha njia kwa mfano? Walitafakari na kuchukua hatua wenyewe!! Wanastahili pongezi. Leo watu wanataka kununua heshima kwa nguvu, waswahili wanatabiri watanunua aibu kwa bei arahisi! Hakuna aliye juu ya Chama bhana!![/h]
Like · · Share · 5 hours ago via mobile ·
[/h][h=6]Kujivua gamba!!... Zipo hoja za madai kuwa zoezi halijafanyika kabisa!.. Hivi Kamati Kuu ilipojiuzulu yenyewe na Sekretariete iliyopita mwezi April 2011, ilikuwa nini kama sio kuonyesha njia kwa mfano? Walitafakari na kuchukua hatua wenyewe!! Wanastahili pongezi. Leo watu wanataka kununua heshima kwa nguvu, waswahili wanatabiri watanunua aibu kwa bei arahisi! Hakuna aliye juu ya Chama bhana!![/h]
- 28 people like this.
5 hours ago · Like
knowledge that is idle" ndio wengi tupo hapa5 hours ago · Like
Kubali hlo,ulaya takes a week m2 kujiudhuru,tn kwa kashfa,hapa hlo haliwezekani!
pole yako na chama chako,subirini hukumu toka kwa watz,kwani mmeshndwa kujihukumu wenyewe4 hours ago · Like ·