Nape: Huwezi kuwatumikia mabwana wawili

Nape: Huwezi kuwatumikia mabwana wawili

Nape ni Janga Kama Lowasa na jk ndani ya ccm......Nape unaiua ccm badala ya kuijenga Kama hujui hata katiba ya ccm ya Tanzania itakuwaje???? Mwambie jk watz wamechoka kusubiria maisha bora kwani kila kukicha ni bora maisha badala ya kuandama team pinzani kwa propaganda jenga Chama kwa kuwapa matumaini hai yenye kutekelezeka badala ya kujipigia gitaa na kujichezea mwenyewe
 
Back
Top Bottom