PISTO LERO
JF-Expert Member
- Mar 8, 2011
- 2,819
- 1,454
Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.
Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..
- Umaskini
- Unyanyapaa,
- Ufisadi
- Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
- Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
- Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
- Msongamano wa magari jijini
- Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
- Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
- Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
- Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
- Katiba mpya
Asanten
Nape ana chuki na dr slaa kwasbbu alitaka sana awe mgombea wa chadema ubungo, alipogomewa na mnyika kuchukua nafasi ana gubu zito rohoni, mwacheni tu mpaka hapo atakapotulia
The best way kumshinda Nape ni kum-ignore,
Kumjibu Nape ni bure, hana kitu chochote huyo, Hana Jipya.
Una akili sana,haya ndiyo mambo ambayo watu wenye fikra pevu wanatakiwa kujadili,siyo upuuzi wa VUVUZELA Nnauye Jr &co.Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.
Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..
- Umaskini
- Unyanyapaa,
- Ufisadi
- Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
- Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
- Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
- Msongamano wa magari jijini
- Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
- Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
- Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
- Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
- Katiba mpya
Asanten
Mimi naamini kabisa tatizo sio Nape kwani yeye analipwa kwa kuzungumza ila ni WAANDISHI wa habari ambao HAWAPIMI/KUCHUJA habari gani yenye TIJA kwa wananchi anayoisema na hii sio tu kwake Nape.Nadhani muda umefika kwa waandishi wa habari kuwa ni chanzo cha mabadiliko ya uchumi, siasa na kijamii katika Taifa letu. Hizi Mada za majibizano yasiyokuwa na tija tuyaweke pembeni hazina manufaa kwa mtanzania yoyote, zinatujazia nafasi na zinatuwekea ukakasi wa kuzisoma.
Hii habari ya nani mwanachama wa chama gani anamiliki kadi ya chama gani, si za kuzungumza leo kwenye karne hii ya mabadiliko ya kasi. Tuache propaganda na uenezui usiyo na tija kwa walalahoi. Andikeni nini kinatakiwa kufanyika Tanzania ili kuondoa/kupunguza wimbi hili kubwa la umaskini lililotanda miongoni mwetu.. Waandishi wa habari tumien weled wenu wa uandishi kuelimisha na kuwaambia watu hali halisi na mustakabadhi wa Taifa. Tuna mambo mengi sana tunategemea kuyaona waandishi wa habari kama kioo cha jamii wakiyapigia kelele na kuyakeme kwa kutumia kalamu zenu kwa mfano.
Nadhani kama waandishi wa habari mkikazia haya mambo na mkayaanika na kuyaandika kwa mapana yake, basi hata muda wa kusoma mawazo yanayoandikwa na wenye uchu wa madaraka na ufinyu wa mawazo, poor vision people na ubinafsi humu JF hatampata kamwe. Tufike mahali tuwe na uchungu na uzalendo kwanza then ubinafsi baadae..
- Umaskini
- Unyanyapaa,
- Ufisadi
- Uonevu wa polis kwa raia wasio na hatia na kwenu ninyi waandishi wa habari
- Ubadhifu wa rasilimali za Nchi kwa kutumia watoto wa vigogo kumiliki share kubwa kwenye makapuni ya madini
- Bidhaa mbalimbali kupanda bei kila kukicha( Petrol) na mazao.
- Msongamano wa magari jijini
- Msongamano wa wawagonjwa mawodini katka mahospitali yetu
- Wanafunzi kufaulu darasa la saba bila kujua kusoma na kuandika
- Ufinyu wa maabara na library katka shule zetu za kata na zisizo za kata.
- Vurugu zinazobabishwa na vikundi vya watu kwa kisingizio cha dini.
- Katiba mpya
Asanten
Nape hana babu?
hivi kweli kwenye ukoo wote wa nape amekosa mtu wa kumuita babu, Inawezekana amekosa hivi anafahahamu tofauti ya umri wa kinana na slaa wote hawa ni makatibu kwa nini asihamishie utani wake kwa wazee wa ccm. kimsingi kama ni mababu wapo wengi ccm
Baba yake wa kuzaa wa Nape sio Moses Nnauye bali Mwandosya... Iwapo Nape anapinga aje hapa athibitishe!!! Sasa anaweza kumuita Mwandosya babu?Achilia mbali kinana , Moses Nnauye ambaye ni baba yake kama angekuwa hai angekuwa ni Mtoto wa Dr Slaa kiumri ? Heshima ni kitu cha bure ndugu Nape , hivi vyeo vya kuteuliwa visikufanye ushindwe kujiheshimu kaka !