Hii nchi haihitaji kukabidhiwa na mtu au chama chochote bali ITACHUKULIWA na CHADEMA . Nchi si faili wala kapu la machungwa bali ni watu kwa maana ya waTZ ndiyo watakao ikabidhi kwa CHADEMA ; Nape ni ENTITY he can hardly count on anything ni sawa na sisimizi mmoja kujaribu kuzui kundi la nyuki ku- occupy mzinga.
To be honest NAPE ni janga la kitaifa kwa sasa.
Hii ni kumaanisha kwamba hata wakishindwa uchaguzi mkuu wa 2015, yaani wakishindwa na hao wanaowaita wahuni, hawatakuwa tayari kuachilia madaraka. Mpaka watolewe kwa nguvu kama Laurent Gbagbo.Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Inaonekana bado hajajua maana ya NGUVU YA UMMA. Ukweli ni kuwa watakabodhi bila kupenda. Hawatakuwa na kufanya. mwambieni kuwa wakati ni ukuta, ukipigana nao utaumia bure.
AMA KWELI 'SIKIO LA KUFA HALISIKII DAWA'.
Mie niliisha waambia humu ndani nchi haikabidhiwi kwa vikaratasi vinavyo tumbukizwa kwenye masanduku, ni zaidi ya hapo. Hicho ndicho wengi wenu hamjui na hamta kaa mjue hata siku moja
Mkuu hebu tujuze kwa Faida ya Taifa letu!!
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Akishahamia CHADEMA atajuta hayo yote! Maana tunajua mwisho wa siku naye atakuja CHADEMA! Nyambafu zake!Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Muda mfupi uliopita Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye amefungua Baraza la UVCCM Wilaya ya Missenyi na kusema kuwa CCM haitakubali kukabidhi nchi kwa wahuni waliojificha katika makundi ya wanaharakati.
Muhuni bb yake mzee nnauye aliyekufa hana hata kibanda akitapanya hela kwa wanawake masaburi yake.