Nape hasomi alama za nyakati

Nahisi hapa alikua anatambikia!
 
Jamani acheni kucheza na familia za watu heshimuni wazee wetu waliotutangulia mbele ya haki... Tuongee mambo kwa busara, tumfariji mwenzetu pale penye huzuni na pongezi anapofanya jambo jema. Pia tusisahau kumkosoa anapoteleza na sio matusi na kejeli hatujengi namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…