NAPE: Dk. Slaa ameikimbia Mwanza mapema


ACHA CHUKI BINAFSI MASKINI WA AKILI NA MALI WEWE? MILAWAMA LAWAMA TU KILA SIKU KAMA SHO*A, WEWE UKILIALIA HIVI NA WATOTO WACHANGA WAFANYEJE? JITU ZIMA UNAANDIKA UPUKUNYUKU TU HUMU JAMVINI.

WEWE UMETHIBITISHA KUWA SERIKALI YA CCM NDIO IMELETA HIZO DAWA FEKI? HUMO WIZARANI (afya na ustawi wa jamii), MSD NA TFDA hakuna wapenzi wa CHADEMA?

Serikalini wapenzi wa chadema pia wapo na ndio watendaji wabaya, mafisadi na wezi wakubwa.

KAMA ULIKUA UJUI, UJUE SASA.
 
Nape alipoambiwa kazi yake ni kufungua domo na kueneza kitokacho kinywani mwake sasa mdomo wake anautumia ipasavyo,sijui kichwa chake anakumbuka kukishirikisha!
 



POSTED BY: BASHIR NKOROMO AT FRIDAY, SEPTEMBER 28,









Na wewe uwe unafahamu namna ya kuchagua your damn sources of information!!

Iweje chanzo cha habari awe Bashir Nkoromo, mpiga picha rasmi wa wa Ikulu na CCM?? Kubambuzi!
 
Ivi nini Sababu za Msingi zilizofanya ChademA kushindwa keti icho ???

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Una uhakika na unachokiongea.....Chagulani ndie aliekuwa anakubalika hata kwa madiwani wa cuf....baada ya kupigwa chini cuf wakaona chadema hamna kitu msimamo wao ukawa bora CCM.....!

Hapana CUF bado wamepiga kura na CHADEMA ila kura zao ni chache 10 kwa 11; Mbunge wa Mwanza Mjini na Madiwani

Wawili ambao wameondolewa; Mbunge wa Mwanza Mjini naona atakuwa ILEMELA Ili washinde kwa ILEMELA.

Lakini CUF walipiga kura pamoja na CHADEMA
 
Una uhakika na unachokiongea.....Chagulani ndie aliekuwa anakubalika hata kwa madiwani wa cuf....baada ya kupigwa chini cuf wakaona chadema hamna kitu msimamo wao ukawa bora CCM.....!

Kama nilivyosema CUF na CHADEMA wamepiga Pamoja ila wamepungukiwa kura... Chagulani anasema yeye bado ni

Chadema alikuwa anasubiri kuonana na Dr. Slaa na Mbowe kueleza tatizo lililopo; That's real democracy hakuna

kuogopana kama CCM; wana-recycle MAFISADI eti Mwakalebele kachaguliewa NEC - huyo huyo alishikwa na

TAKUKURU na kukataliwa kugombea UBUNGE... yaliishaje? Haijulikani...
 
Dah mkuuu unaweza ukatuma more evidence to support your statement

Yeah kuhonga wana CHADEMA wenye mioyo hafifu... na ndio sababu ya tatizo la UMEYA Mwanza Mjini...
 
Na wewe uwe unafahamu namna ya kuchagua your damn sources of information!!

Iweje chanzo cha habari awe Bashir Nkoromo, mpiga picha rasmi wa wa Ikulu na CCM?? Kubambuzi!

Haujui nini... BASHIR NKOROMO ni kama ameajiriwa na NAPE NNAUYE... anapia website ya IKULU anayo-iupdate na

Ya CCM - Ile CCM Glog Bashir Nkoromo anaiongoza as well... Kama VILE ISSA MICHUZI na IKULUBLOG...

PESA za WALIPA KODI zinafanya kazi ya CHAMA...
 

aaaaaaa yamekuwa hayo tena kama dawa za vvu tu mmeshindwa ila mnaweza kuwa na pesa za kwenda msibani maana ke mmepanga......unachekesha watoto wa kike kupata mimba ni kwa ajili ya kiherehere chao huyo ndio baba mzazi au na hii pia watoto 5000 waliofaulu kwenda kidato cha kwanza hawajui kusoma wala kuandika....

nakushauri angalia tbc maisha plus ndio utajuwa tz inayoongozwa na ccm kama kuna watu mpaka leo hajui kazaliwa lini maanake hata umri wake hajui na yupo mjini

 
Kura zilipigwa na madiwani, huku baadhi ya madiwani wa CDM wakiwa wemetimuliwa, tusubiri kura za wananchi za ubunge sumbawanga na igunga tabora.......hapo ndo wawezatoa conclusion Nape.
 
Ok kwa kukufraisha tufanye hivi ni serekali ya chadema na akishirikiana na waziri kivuli sa cdm haya hapo umefrai ehhh?!?!? Idiot
 

Ni vizuri ukaandika mambo yanayo make sense na yenye Logic kuliko hivi ulivyoandika.

Hayo aliyosema Nape tulitegemea ayaseme tu, bali ningependa kumshauri tu aache kufanya siasa za kumshambulia mtu binafsi na utu wake si sahihi kabisa, vilevile mambo ya mipasho hayana umuhimu wowote kwenye siasa za ushindani.

Suala la RC,DC,RPC, wakurugenzi wa halmashauri nk. kutumiwa na CCM kuua upinzani sio kipya wala la ajabu sana.
Hivyo sioni sababu ya CHADEMA kupoteza muda kumfuatilia RC wakati kila kitu kiko wazi.

Suala la kupoteza umeya mbona liko wazi kabisa, kama uwiano wa madiwani uko hivi CHADEMA-8, CCM-8, CUF-3 na matokeo yakawa CHADEMA(8) CCM(11) ,hivyo kuna ajabu gani unless kama another theory behind ambayo hutaki kuisema.
 
Ccm watafanikiwa kuisambaratisha chadema lakini hawataweza kuwasambaratisha watanzania. Watanzania ni hatari kuliko chadema. Nawaasa ccm achani kutumia hila dhidi ya chadema maana nguvu ya raia wasio na vyama ni mbaya na hatari kwenu kuliko hao chadema!!
 


Usikemee HOJA ya MTU; Kila MTU anaona habari na Masuala ya kisiasa tofauti; kuliko kushutumiana ni

Kueleweshana... Kabla ya Chadema kufukuza Madiwani 2 ilikuwa na kura za kutosha
 

Hii inaruhusiwa..hata CDM waliitumia katika halmashauri ya HAI.Tuone kam kutakua na rufaa,na kipengele kipi kitapingwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…