Mohamedi Mtoi
R I P
- Dec 11, 2010
- 3,321
- 6,328
Uzuri wa Nape mdomo wake hauna aibu ya kutapika chochote anacho jisikia, na uso wake uko uchi maana hauna haya ya kuzungumza uongo.
Si ndio yeye yeye alisema chadema wanawasaidia kuwavua magamba wanachama wa ccm walio kataa kuyavua?
Na kweli vua gamba vaa gwanda inakomba na kuyavua magamba na kuyavalisha magwanda. Aache kutapa tapa dawa iingie vizuri maana wote walioko ccm ni magamba wakitoka wanavua magamba, wanatawazwa wanavaa magwanda, wanaingia kazini, ukombozi unaendelea.