Toosweet
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 2,140
- 1,982
Katibu wa Siasa na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye alipokutana na waandishi wahabari mjini dodoma Jumatatu alitoa tamko.Tamko hilo lilitokana na kikao cha Kamati Kuu ya CCM.Tamko lilipiga marufuku mwana CCM yeyote kufanya mwafaka na UKAWA;Umoja wa wajumbe wa Katiba ya Wananchi.Maneno yao yanapingana na kitendo cha mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Kartiba Samwel Sita ambaye alisafiri mpaka Zanzibar ili kupata mwafaka na UKAWA.CCM wanafikiri kuwa mwafaka ni jambo la kuonesha udhaifu,wanaona kuwa Katiba itapatikana kwa misuli bila maridhiano.Kama mahasimu wa Sudani Kusini wameona haja ya mwafaka nivizuri kujifunza kwao.CCM wanajitambua?