Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,151
- 44,118
Katibu wa Itikadi na uenezi wa CCM, Nape Nnauye amesema kuwa CCM imeJiandaa kutoa Chai na Chakula cha Mchana(Lunch) bure kwa wapenzi na mashabiki wote wa CCM watakaojitokeza kuja kuhudhuria maadhimisho ya miaka 37 ya kuzaliwa CCM
mkoani Mbeya. Hii ni sehemu tu katika kusherehekea lakini pia ni ukarimu ambao ndio utamaduni wa CCM.
Aliyasema hayo leo asubuhi kupitia Redio Uhuru.
Suala la usafiri au nauli kwa wahudhuriaji Nape hakulizungumzia kabisa.
Happy Birthdate CCM!!