Inaburudisha, ukiwa na stress unashauriwa kuwasikiliza wanasiasa kama hawa; kwani ni burudani tosha kabisa. Inanikumbusha mzee Gadaf -aliyeita wanadamu wenzake kuwa ni panya, naye mwenyewe kaishia kujificha kwenye mashimo kama panya na kufa kifo cha aibu.