Nape: CCM itatawala milele

Nape: CCM itatawala milele

Makirita Amani

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
1,914
Reaction score
3,437
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.
 
Hajui asemalo huyo poyoyo, kila siku anaibuka na jambo jipya!!! Roman Empire, ilikuwa dola kubwa iliyotawala almost Europe yote na Asia, lakini ilianguka, sembuse nyinyiem?? Hili jamaa cjui linafuzu uchizi au nini maanake? Soon atakuwa chizi kamili.
 
Huyu kijana aache kufuru. Hakuna kitu kinachodumu milele isipokuwa Muumba!
 
Ameondoka Gaddaf na Hosain Mubarak itakuwa CCM?. Uchaguzi wa 2010 kama haki ingefuatwa Chadema ingekuwa imeshika dola kwa sasa. Nape acha kuropoka kama umevaa napi iliyojaa mkojo aka pampers.
 
Mi interest yangu ilikuwa idadi tu ya watu; nakwambia watu walikuwa wachache sana...ma-gap yalikuwa yanaonekana dhahiri na lazima tukubaliane kwamba Makambako, tena mjini kabisa ni eneo lenye wakazi wengi sana.

Namsubiria hapa aje mbio mbio kukanusha kwamba ile picha pale haikuwa Makambako bali ni vijijini huko Njombe vijijini...
 
huyu jamaa ikitokea muujiza akahamia chadema. itabidi abaki kuwa member tu... hastaili kupewa hata uwakilishi wa chama kwa ngazi ya shina. yaan hajui anachokiongea... tumuonee huruma tu tumwache labda ipo siku atajitambua.
 
Nape anasema CCM itatawala milele kwa sababu vyama vya upinzani havina sera mbadala za kuikomboa hii nchi.

Tusishangae kwa nini hiki chama kitakufa kwa kasi sana maana viongozi wenyewe wameshapanic.

Mkuu kweli nami nishangwazwa na hii news ITV Ucku, nimeamini NAPE ni vuvuzela na mropokaji, hivi kwamba wapinzani hawana sera mbadala zakuikomboa nchi hii kutoka wapi? Kwa lugha nyingine anakubali kwamba nyinyiemu yao ni wakoloni weusi hivyo tunahitaji kukombolewa kutoka kwao? Nahisi kuna disconnection kati ya maneno yamtokayo kinywani na ubongo wake!!
 
amenichekesha sana aliposema ccm itatawala milele kwa sababu wapinzani hawajajipanga kuja na sera mbadala za kuikomboa nchi hii. nikaanza kufikiri hivi huyu mtu anajua anachokiongea?
yaani ccm inajua imechoka kwa hiyo kunatakiwa kuwa na sera mbadala yenyewe haina sera tena na mwenezi anajua.
na kakiri wapinzani tu ndio wanaweza kuikomboa nchi.
nape iwe unajua au hujui hii kauli na ile kufuru ya kusema ccm itatawala milele lazima zikutafune kabla hujaondoka hapa duniani.kwa nini hotuba zako usiwe unaandika ukazisoma kama mara mbili na kuomba ushauri kwa wenzako?au ni ile kauli ya makamba kuwa hushauriki na kukifanya chama kama mali yako?
umemsikia raza asubuhi?
 
Mi simshangai Nape coz hapo zamani walisema mpemba haji kuwa Rais Zanzibar,au Rais hatoki Kaskazini! But leo rais ni Mpemba na makamu wa 1 ni mpemba. Watu walio KATA TAMAA na wasiona Hoja siku zote huja na hoja zilizo KUFA kama ilivo kwa wanasiasa waliochoka hukimbilia UBINAFSI, Dini, kabila na Kusema watu.
 
halafu wanafanana fanana tuu... ukimsikiliza yeye, ukamsikiliza wasira, ukamsikiliza na lukuvi na wengine wengi mpaka yule wa juu... utagundua hawana sera, hawawezi kuongea maneno mawili bila kuitaja chadema...
CCM boat ndo inazama hivyo. angalieni msije mkashindwa hata kuwa chama cha upinzani (chama kikapotea na kusahaulika)
 
Huyu jamaa ana "UKIKI" Upungufu wa Kinga Kichwani na anaelekea kuchanganyikiwa na M4C,amuulize Gadafi na Sadam leo wako wapi?Hao hao anaowaita mara oil chafu na vinyago watajamnyuka hataamini...Time wii tell.
 
Hajui asemalo huyo poyoyo, kila siku anaibuka na jambo jipya!!! Roman Empire, ilikuwa dola kubwa iliyotawala almost Europe yote na Asia, lakini ilianguka, sembuse nyinyiem?? Hili jamaa cjui linafuzu uchizi au nini maanake? Soon atakuwa chizi kamili.

ebanaeeee!nimeipenda hiyo;.....linafuzu uchizi.tehe tehe..
 
Hv huyu Nape hajui hata kusoma alama za nyakati jamani?

Ama anafikiri hii ni Tanganyika ya 1961

Kuzaliwa 1977
Kufa zika 2015

Habari ndiyo hiyo!
 
kwa maana nyingine anakubali nchi hii haijakombolewa na haiwezi kukombolewa na ccm. CCM NI JANGA LA TAIFA.
 
kizuri tanzania ni kuwa kila mtu ana haki ya kusema.... mwache aseme tu
 
huyu jamaa ikitokea muujiza akahamia chadema. itabidi abaki kuwa member tu... hastaili kupewa hata uwakilishi wa chama kwa ngazi ya shina. yaan hajui anachokiongea... tumuonee huruma tu tumwache labda ipo siku atajitambua.

hawezi kujitambua huyu, kama ni cancer basi imefikia stage ambapo haiwezi kupona tena. Cjui huyu nape anatumia nn kufikiri, anashangaza.
 
Dah, nina question sana competence na reasoning ya huyu mtu anaitwa Nape. Ameongea kitoto sana mpaka anatia kichefu chefu. Yeye Mungu? Mpaka ajue kuwa CCM itatawala milele? Hasomi alama za nyakati!
 
Back
Top Bottom