Emmanuel Luoga
Senior Member
- Oct 26, 2012
- 111
- 29
Ameamua kuongea mambo asiyo ajua eti CHADEMA inawatenga CUF na NCCR Mageuzi Katika Serikal za mitaa.
Chanzo: ITV
Chanzo: ITV
Tanboy wa Kinana.
Masikini wa akili yule hana anachojua.
Afadhali mwenzake Kinana anaenda kula maugali na wananchi masikini kuwahadaa kwamba anapenda sana maugali na maharage ya kuchemsha na chumvi tu.....likitoka hapo linaenda kupiga nyama choma huku amewaacha wananchi hawana dawa hospitali. Ueue akiigua fasta...kimya kimya anaenda SA.
Ameamua kuongea mambo asiyo ajua eti CHADEMA inawatenga CUF na NCCR Mageuzi Katika Serikal za mitaa.
Chanzo: ITV
Kasema kuwa cdm inataka kuweka wagombea kila mahali na kila kijiji na wamekiuka mou ya ukawa.source Itv.je nini kinamuuma
Nape ni wa kumuonea huruma tu,yupo kwenye ziara ya kujenga chama chake,badala aongee sera za chama chake,anaanza kusema waraka wa chadema,mimi naamini nape hana upeo,hata hiyo nafasi ndani ya chama sijue ameipataje jamani,alafu hajifunzi hata kwa mzee kinana anafanya kazi iliompeleka ktk ziara hiyo.