Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
- Thread starter
-
- #21
Mtoa mada muongo sana dah! Sijui anamfurahisha nani wakati watu tulikuwepo mkutanoni.
Wanafunzi wabaya nyie, licha ya kula ming'ombe na mijimbuzi mwisho wa siku mnalala CHADEMA!!
Pole ndugu yangu Nnauye, ndio siasa hiyo hata hao kiduchu watafikisha ujumbe kwa wenzao.
Viva kwa vijana wa SAUT mliojiunga na ccm. Tutawalinda popote pale mtakapokuwepo,
ccm ndio wenye serikali tutakuwa na nyie mpaka mtakapo maliza chuo. Mlinifurahisha sana na Mh Nape ana
matumaini makubwa na nyie.
Kweli kabisa hiyo ndio ccm mabibgwa wa kuteka na kupiga subirien kihama chenu mafirahuni makubwa nyie moto wa chadema hamuuwezi endeleen kuwavia hao hao UDP and co.Kwa Kipigo ulichopata lazima povu likutoke sana...hiyo ndio ccm mkuu!! Na bado
kuhusu madai ya kuchinja ng'ombe Nape alisema angekuwa na uwezo zaidi angegawa ng'ombe zaidi
hawa magamba wanajiona nani..nape kashindwa jibu swali wanaamua pigana na kupiga watu.sasa ndio wamechokoza..hawajui kuwa sasa hivi pale pembamba pa kamba pako very tense na tayari sauti zakukatika zimeshaanza sikika.mkuu nicholaus kilunga big up sana ume onyesha uzalendo mkubwa sana.usife moyo haya ni mapambano ya kumtoa mkoloni mweusi siku si nyingi tutafika nchi ya ahadi.
Ndugu, Waache waendelee kujidanganya huku wakifarijiana na propaganda za kibavicha. CCM imeishamaliza kazi yake SAUT tawi la Mwanza na sasa inasonga mbele.Kwa Kipigo ulichopata lazima povu likutoke sana...hiyo ndio ccm mkuu!! Na bado
Viva kwa vijana wa SAUT mliojiunga na ccm. Tutawalinda popote pale mtakapokuwepo,
ccm ndio wenye serikali tutakuwa na nyie mpaka mtakapo maliza chuo. Mlinifurahisha sana na Mh Nape ana
matumaini makubwa na nyie.
watanzania njaa itatuuwa kumbe nyama inamtoa roho mtu njaa mbaya sana
kuhusu madai ya kuchinja ng'ombe Nape alisema angekuwa na uwezo zaidi angegawa ng'ombe zaidi
Ni aibu kubwa kwa kijana
Nape Nauye kuchumuia tumbo kwa maslahi binafsi...hizi njaa ni mbaya
sana
Mkuu nyani hawana aibu.
Viwanja vingi Tanzania ni mali ya ccm. Unalalamika mlinyimwa kiwanja na ccm wakapewa!!! Mpaka leo cdm hawajenga
hata Makao Makuu ya chama, unataka tuwape kiwanja ili muwadanganye raia??? Tafuteni vya kwenu. Kule Arusha kuna
sehemu cdm walikuwa wanapenda kukutana (NMC) na kuanzisha vujo ule uwanja serikali ya ccm iliwapa raia wafanyie biashara,mpaka leo cdm hawana sehemu ya kukutania tena.
Sasa wewe unalalamika nini?? Wenzio wa Arusha mpaka leo hawajui wafanye nini kwakuwa ccm ilichukua mali yake, fanya
utafiti dogo usikimbilie kuandika tu. USHAURI ni bora ujitahidi umalizie masomo yako kuliko kushindana na ccm na watu
wake ambao wamekuzidi elimu,,CCM ipo kila siku utachoka na utapoteza muda wako na kibaya zaidi utapoteza future yako.