Nape atua studio za V.O.A, Afunguka kuhusu Rostam, Lowassa na Chenge

"wakuu".
NACHELEA KUAMINI KUWA HAPA TUNATAKA MIJADALA YOTE IENDE KIVYAMAVYAMA ZAIDI KULIKO UKWELI WA HALI HALISI KAMA GREAT THINKERS.......

USHAURI WANGU JIBUNI HOJA BILA YA KUJADILI ID YA NANI......USIANGALIE RANGI YA PAKA ILIMRADI ANAKAMATA PANYA, ANAFAA,!!!!![/
QUOTE]
wakati mwingine kujibu hoja inakupasa ujue nani unajibishana nae, maana ukijua Nape ndio unamjibu unakua na kazi nyepesi ya kufikiri kwa kua wewe mwenyewe unapenda majibu mepesi, na mfano ukimjibu mtu kama Mnyika unatuliza akili kwakua unajua yule jamaa anapenda kunyambua mambo.
 
Back
Top Bottom