Nape atoa siri ya kujiuzulu kwa wanaojiita CCM

mbona ajazungumzia kadi feki wanazotengeneza wagombea wa ccm kwenye kura za maoni ili washinde uteuzi au zile ni halali
 
Nachelea kusema maccm hawako tayari kukabidhi nchi,another Nkurunzinza is on the way!
 
Niko tayari kumlipa mtu kama consultant ajaribu kunielekeza mambo anayozungunza Nape kwa kweli maana sijawahi kumuelewa hata siku moja huyu kijana

Huyo shetani, hata usijisumbue kumuelewa utapoteza mda wako tu
 
nape anafikiria kama ukawa ni sawa na ccm kupandikiza vibaraka katika vyama vya upinzani kama walivyopandikiza kina Mrema na Lipumba.Ukawa hawana time hiyo.Ukawa ni kushika dola tu mbele kwa mbele.
 
Nape ndugu yangu na mwenezi wangu, hayo ya baada ya uchaguzi, vp kuhusu makada wetu wanavyotukimbia na tetesi zimezagaa hadi mtu wa pili kwa Jamhuri nae anataka kuondoka, hebu tujishuhurishe kwanza na ''kabla'' halafu ''baada'' baadae
 
Back
Top Bottom