Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

ilikuwa vita embu acheni fix.
Unafikili mpk kumwita Mkapa hawakuchukulia serious
 
lazima moto uwake ccm, huo mpasuko ni balaaa. sio halikua chaguo la wana arumeru hata kidogo
 
Kazi kwelikweli. wanafiki tu kama walikuwa hawamtaki walifanya nini kumkataa? walewale angeshinda wangesema chama chao imara!
 
kwani nape na lowasa wanapikika chungu kimoja?
 
nape angalia itakula kwako kaka!! wapi lowasa na mapesa aliyomwaga ili kumpamba sioi sumri??
 
Nape hajashangilia. Amekubali kushindwa. Kwani alikuwa anafanya nini Arumeru na Mkapa wake?
 
1.jpg


itamlazimu kesho aungane na hawa
 
kimoyomoyo anachekelea ushindi wetu japo hadharani anaonekana ccm ili kulinda kibarua chake.....
 
[h=6]asiyekubali kushindwa.............[/h]
 
Nape alishatahadharisha mapema sana kwamba huyu Sioi hatashinda.Wangemweka Sarakikya ni wazi angeshinda.Matokeo yake wametumia rushwa ya Lowasa kama kawaida yake.Hili ni pigo kwa Lowasa na kundi lake
 
Hongera Nassari, kweli nimeamini "unakula CCM unalala CHADEMA" means kula pesa za CCM chagua CDM, mwanzao mzuri, Kirumba pia CDM imechukua ni raaaaahhaaaa kwa watanzania, sio kwa mafisadi!!
 
inanipa mzuka hiyo picha. inanikumbusha ushindi wa Halima Mdee na John Mnyika walipita Kawe ule Usiku moto bati walipofika kituo cha Polisi walipiga bonge la msele watu weweeeeeee
 
Back
Top Bottom