Nape asema CHADEMA ni FISI

Nape asema CHADEMA ni FISI

Anaendelea kuchumia tumbo lake karibu atapasuka!!!!!
 
Katibu wa Uenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye amewaita wapinzani wao CHADEMA kuwa ni fisi waliovamia sherehe isiyowahusu. Nape alisema kuwa FISI wanataka nchi isitawalike, wanataka damu imwagike kwa kujawa na uroho wa madaraka walionao.

Nape amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kata ya Izigo Wilayani Muleba ambapo vijana wa upinzani walikuwa wamesimama pembeni wakinung'unika.

Katika kumalizia hotuba yake jukwaani hapo, Nape amesema kuwa Ikulu hawatakwenda wapinzani abadani, na kwamba mwaka huu ushindi wa CCM utaongezeka kufikia zaidi ya asilimia 80%

Baada ya muda kidogo nitapandisha video.

Aeleweki huyo maana kila kitu kwake ni kibaya
 
Nape asubiri october ndio atajua mafisi bi yepi kati ya ccm na chadena.. wanafabya mambo kwa mazoea!
 
Ameshindwa kuongelea upatikanaji wa maji safi na salama? Usambazaji wa umeme vijijini? Huduma bora za afya? Uchumi?

Ila yeye kaona hilo ndo la kuliongelea.

Only in Tanzania..
 
Katibu wa Uenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye amewaita wapinzani wao CHADEMA kuwa ni fisi waliovamia sherehe isiyowahusu. Nape alisema kuwa FISI wanataka nchi isitawalike, wanataka damu imwagike kwa kujawa na uroho wa madaraka walionao.

Nape amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kata ya Izigo Wilayani Muleba ambapo vijana wa upinzani walikuwa wamesimama pembeni wakinung'unika.

Katika kumalizia hotuba yake jukwaani hapo, Nape amesema kuwa Ikulu hawatakwenda wapinzani abadani, na kwamba mwaka huu ushindi wa CCM utaongezeka kufikia zaidi ya asilimia 80%

Baada ya muda kidogo nitapandisha video.

kama hujacheka leo haya fungua hii ucheke angalao uongeze siku zako
https://youtu.be/P5etsCfXO1M
 
Malipo ni hapa hapa duniani. Kila iyemtukana Lowassa analipwa.hapa duniani. Inaonyeshamzee wa watu hakuwa na makosa aliyodaiwa.
 
Hili kaburi sijui mtu gani kalifukua -fisiem au nyumbu?
 
Katibu wa Uenezi wa CCM Mheshimiwa Nape Nnauye amewaita wapinzani wao CHADEMA kuwa ni fisi waliovamia sherehe isiyowahusu. Nape alisema kuwa FISI wanataka nchi isitawalike, wanataka damu imwagike kwa kujawa na uroho wa madaraka walionao.

Nape amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa stendi Kata ya Izigo Wilayani Muleba ambapo vijana wa upinzani walikuwa wamesimama pembeni wakinung'unika.

Katika kumalizia hotuba yake jukwaani hapo, Nape amesema kuwa Ikulu hawatakwenda wapinzani abadani, na kwamba mwaka huu ushindi wa CCM utaongezeka kufikia zaidi ya asilimia 80%

Baada ya muda kidogo nitapandisha video.
Sawa
 
Ajiangalie sana.
Kina Lowasa na Sumaye walitukana saaana. Sasa wapo tumboni mwa fisi !!
 
Back
Top Bottom