Nape aogopa kutia mguu Arusha

Mbona mkuu tulikuwa tayari tu kuhudhuria mkutano haswa angefanyia pale NMC sasa alichoogopa ni nini hasa? Vijana walikuwa wamejipanga vema na kwa hamu kuhudhuria kusikiliza na kuijibu hotuba yake papo hapo uwanjani.
Sidhani kama angefanyia viwanja vya Unga ltd kwa hofu ya kukosa watu maana siku hizi wameanza mtindo wa kufanyia Stand kuu za mabasi kuvizia watu wanaosubiri usafiri.
 
http://4.bp.blogspot.com/-KgyNYYNu6Y8/TgeeUBblVYI/AAAAAAAAG4g/Mk7Q5YGH8ko/s1600/3.JPG
 

kilewo

Nape: siasa zake hufanyia sehemu laini laini ila sehemu ya arusha ni ngumu na hawezi tia *mguu hata siku moja, taarifa zinaenda mbali zaidi na kusema nape hawezi tena kutia miguu igunga. hizi zimetoka ndani ya chama chao , wamemuandaa mzee mwinyi kwenda kufungua kampeni huko igunga pamoja na kuzifunga
 


Itabidi aje Vasco Dagama II
 
Hivi Fisadi papa amekwisha kuja Arusha (Officially) tangu yale mauaji yalipotokea?
 
daaah! kweli nape haji chuga town? Tulikuwa tuna hamu naye hadi UVCCM wenzake toka monduli, karatu, ngorongoro wangekuja kumzodoa sasa anakuja lini hata stand kuu poa tu tutamfata ila sheikh amri abeid hata kwa dawa hatuingiii
 
Mku huyu sasa anaiona Arusha chungu baada ya kupokea taarifa yakuwa wakazi wa Arusha hawataki kelele za magamba jimboni humu
 
Atakuja na wengine watakuja, mbona mmeacha kufikiri kutumia kichwa mnatumia kiungo gani. Ninyi ndio wapanga ratiba za nape? Mazezeta bwana ?
 
Atakuja na wengine watakuja, mbona mmeacha kufikiri kutumia kichwa mnatumia kiungo gani. Ninyi ndio wapanga ratiba za nape? Mazezeta bwana ?
siyo tu nape hata huyo rais wenu wa Nec muambieni aje Arusha. ila akija aje na majibu ya hayo maswali hapo juu. kuhusu ratiba, ccm haina ratiba wala haijui ratiba ila ni bendera fuata upepo.
 
Kuna maeneo wakienda ni wapinzani,mojawapo ni Arusha,hawawezi kwenda huko!
 
Kuna maeneo wakienda ni wapinzani,mojawapo ni Arusha,hawawezi kwenda huko!
<br />
<br />
chama chake kinaendelea kupata uzoefu wa kuwa chama cha upinzani kutoka katika majimbo ya moshi mjini, musoma mjini, mwanza, karatu, kigoma, mpanda, pemba kote. Wanalazimisha sana kubakia madarakani kwa nguvu za dola jimbo la Arusha lakini nguvu ya umma imawazidi. Ndio maana kuanzia JK, Pinda, na hata mawaziri hawathubutu kutia mguu Arusha. Nape is just mpiga debe na propaganda za ccm! Hana cha kuwaeleza wakazi wa Arusha ambao walishapata machungu ya kuumizwa na dola!
 
Atakuja na wengine watakuja, mbona mmeacha kufikiri kutumia kichwa mnatumia kiungo gani. Ninyi ndio wapanga ratiba za nape? Mazezeta bwana ?
Yaan wewe ndo zezeta namba 1, afu nyuma yako anafuatia nape na list inaeza kuendelea kama ukipenda. Kwataarifa yako hakuna kiongozi yeyote wa chama cha magamba mwenye ubavu wa kukanyaga ar, labda aje kmya kmya. Mwulize riz1 kilchomkimbiza sheikh amri abeid ni nini wakat alpokutana na waislam siku 1 kabla ya ramadhan kuanza! Hao magamba waendelee tu kuja kmya kmya!
 
sasa ulitegemea nini kwa wavuta bangi?
<br />
<br />

Vijana wanahasira kwasababu wamepigwa risasi na kusababishiwa ulemavu na serikali inayoongozwa na ccm kupitia polisi wao a.k.a dola halafu unasema ni wavuta bangi!?
Kweli masaburi alikuwa sahihi. Kuna watu mnafikiri kwa kutumia makalio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…