Nape amshukia Dr. Slaa kuhusu ACT- Wazalendo

Nape amshukia Dr. Slaa kuhusu ACT- Wazalendo

Haya tumesikia maoni ya upande moja unataka tusikie ya upande wa pili, karibuni akina mwnadiwani,Ritz,f fox small show na wengine.

Inakuwaje mbona mmepooza sana Siku hizi? Kwenye mambo yetu ya kadhi kimya,huku pia kimya, aah hamtutendei haki,tumewazoea,tunawahitaji nyinyi ni wenzetu michango yenu inatufurahisha,hebu njooni mumtettee Nape
 
Jamani CCM imeshatuchosha inatakiwa tuiweke kaburini tuizike mwaka huu.Siku zilizopita Nape alisikika kwenye vyombo vya habari akimsifia Zito kua,ni mwana SIASA mashuhuri na hodari.

Pia Nape alimuomba Zito aachane na siasa alizokuwa akizifanya akiwa CHADEMA.Kwa maneno hayo ya mpuuzi Nape nidhahiri kwamba Nape alikuwa anampigia kampeni msaliti Zito na chama cha CCM B (ACT).Mpuuzi Nape hapo anakanushaje kwamba hawaisaidii CCM B(ACT)?

Ukiwa na akili ya kuchoka, hata mkeo au mumeo utamchoka.
 
we nape ushaanza pewa umbea na ztt
 
Back
Top Bottom