TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.
Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.
Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.
Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.
Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.
Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.
Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.
Na nahisi huu uzi umeletwa na huyo shushushu mbobezi na sio Bwana Chipalapala HamzaShushushu mkongwe na mbobevu ameshindwaje kujua km Nape sio wa kuaminiwa!!! na alishawaingiza mjini CCJ!!! Pia ameshawaingiza mjini wtz bunge live!! Let's count this as first huge mistake of the so called shushushu nguli!!
Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.
Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.
Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.
Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.
Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.
Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.
Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.
Macho huna na akili nazo?
Watu hawakumwangalia Januari Makamba usoni ....kulikuwa na ujumbe fulani Nape anawasilisha amabao Januari naye alishiriki kuuandaa!
Ila kWabunge wengi wa CCM walikuwa wanashangalia wasichokijua!
Bado yuko nae kwa akili na tahadhari! sorry mkuu skiza tena mchango wake utamuelewa anaiandalia kambi yake mazingira!!Kwahiyo mnataka Nape Abaki na Membe aliyefukuzwa Chama???
Makamba na Nape siyo ma genius. Hii nchi wamekuwepo watu wenye uwezo mkubwa kuliko hao waliojaribu kupambana na system lakini wakafeli sembuse hawa masela.kumbe nawewe una kitu inaitwa ‘attention to minor details’ si kila mtu anayo, ni kosa kubwa mtu kudhani una akili zaidi ya wengine manake body language yake pale kitini jamaa kucheka bila kustop ilituma ujumbe ‘nondo zetu zinapasua mawimbi ‘ hawa jamaa hawafai , sijui wanataka urais kwa deal gani si kwa kuupania huku!!!
na huyu mwingine lile jina alimwita kiranja kwenye cm ambayo hakujua inadukuliwa lilitoka rohoni kabisa na ndicho anachoamini hadi sasa anakuja kivingine na rangi ingine na strategy ingine kama kinyonga, kweli wamejipanga! ni Messi yule wa kuchungwa sana hasa kama inavyooneka ni kupitia yale mazungumzo ya cm huyu ni tarishi na hii ya juzikati kuwa ndio speaker au subufa toka kambi ileee!!, cheeter hawezi kuwa leopard kwa kumpaka rangi ya leopard (kuomba msamaha mdomoni rohoni unacheka!)
jamaa ni genius pale aliongea kinyumenyume kwa wenye akili, alisema utekelezaji ilani utafsiriwe kupitia maisha ya watu,sasa nani ana mawe leo mtaani? na pia ‘mchakato wa kumpata mgombea upo palepale na eti mkuu atajieleza utendaji wake mbele yao wao wenye chama walioandika job spec yake ili wampitishe tena!! leo nimeamini kweli IQ zinapishana sana!!
Mkuu unasahau kuwa katika siasa hakuna permanent friend or enemy, bali kuna permanent interests.Salam Salam!.
Kitendo cha Nape kwenda kumpigia magoti rais Magufuli, kilichukuliwa kama bahati mbaya lkn hivi karibuni tumeona na kusikia bwana Nape akimsaliti rasmi Mh Membe kwa kitendo chake cha kuwaomba wanaccm wampitishe Magufuli tena hata bila kufuata kanuni na taratibu za chama na nchi.
Nape anasahau jinsi 'Jivu' lilivyombeba dhidi ya Selemani Mathew mwaka 2015.
Kutokana na kitendo chake cha kwenda kupiga magoti, kitendo kilicholaaniwa na viongozi wa ccm wa Mtama na Lindi kwa ujumla, tulidhani angejirudi na kuona makosa yake, bwana Nape wamwera tunasema " Shaagalaulila Nngaikumba", stay tuned!.
Bwana Nape nikurudishe nyuma, nikukumbushe Maneno ya Marehemu mzee Nape Nauye mwaka ule, mimi nikikuwepo lkn hukuniona, wakati watu wanakabidhiwa iki ww ulelewe vyema kisiasa, umesahau?. Bwana Nape unakumbuka issue ya shamba lenu kubwa la kifamilia la korosho?.
Bwana Nape, unakumbuka ulivyodanganywa kwamba wananchi wa Mtama wanakusubiri wakupokee kwa shangwe kwa ushujaa wako wa kupiga magoti, unakumbuka uliambiwa na kushauriwa nn?, je ulivyorudi mtama unakumbuka ulikutana na jambo gan?.
Nape, unadhani dunia imesahau ulivyomchongea Dr Kipilimba kwa maneno yako ya uongo na kinafiki?.
Tukutane October 2020.
Naitwa Hamza Nasibu Chipalapala 0686 529 751. Napatikana kijiji cha Luponda, wilaya ya Nachingwea.
Nyie bendera fuata upepo akipita yeye mtakuaja kumkatikia viuno hapa. Malaya haangalii sura yeye hela tu.
Sent using Jamii Forums mobile app