hata mimi namshangaa huyu msomi wa UDOM kumuona Nape Udom na kuifanya iwe hoja ya kujadiliwa katika jukwaa la wakubwa kama hili.....dogo acha woga.....unayemuhofia hana chochote cha kukutisha....usipende kujitisha bila sababu, actuali mie ningemkuta ( .....) nisingeshtuka sioni impact yake anyway
mix with yours