nipo kweny mkutano wa CCM kiteto leo, lengo la ziara yao ni kukagua shughul za maendeleo bt matokeo yake muda wooote hatusikii hata watuambie wametekeleza nn katika ilani yao ya uchaguz, matokeo yake hapa ni mipasho tu na kuwaponda wapinzan na kusifia kuwa wana ofisi nzur kila kata katka Nchi hii!!!!!! Kumbe lengo la ccm ni kupinga UKAWA
Kuna mambo ya msingi nape alikuwa anayapinga kabla ya kupewa uongozi mpaka akaanzisha CCJ akiwa na Sitta.
Lakini tangu apewe ulaji amekuwa msema hovyo.
Sijui itakuwaje muda wake ukiisha maana anawakera wengi
Nilishasema Nape na Kinana ni janga la kitaifa,kweli iko kazi,wewe badala ya kutangaza sera unahangaika na wapinzani ambao ndio wakombozi wa nchi hii,je ccm mmefanya nini kwa miaka 50????????
Mimi wakuu naomba anaeweza amfundishe nape kutumia mic ili aeleweke anapoongea nachelea asije siku moja taya zikaganda kwa anavopiga kelele au hajui kama ukionge tu kawaoda sauti inatoka kubwa nachoka kabisa nikimuona anavopiga kelele