Nape akiwa Dodoma leo.

Nape akiwa Dodoma leo.

Dingswayo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
4,019
Reaction score
2,930
Tafsiri picha hii:


Nape.jpg
 
Alama za CCM ni Jembe na Nyundo, Nyundo inatumika kuwapondea Watanzania wote, na Jembe kuchimbia Kaburi la kuwazikia waliopigika na kupoteza maisha. Hapo jamaa anamsanifu huyo mlemavu ebu angalia magari yalioko kwenye Backgroun na vitambaa vyao yaani bendera si vingewezza kubadili maisha ya huyu Kaka yetu? Lakini yarabi uwepo wa vikao vya CCM Dodoma umebadilika kuwa vya matumaini ya kukaa karibu na waridi ili angalau kwa siku hizo watakazokaa hapo naye anukie nukie waridi.

DU JAMAA KAPOTEZA KABISA MATUMAINI YA MAISHA BORA ALIYOAHIDIWA, LAKINI AKINAA KARIBU NA WAENEZAJI WA ZILE PROPOGANDA ZA MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIa KWA ARI, NGUVU NA KASI MPYA HUENDA ANGALAU AKAYAONA.
 
hawana hata haibu wameiga ata staili ya nguo za chadema!!!! amakweli wana ccm wanakipenda sana chadema, lakini watafanyaje wakati njaa na wizi unawafanya wabakie ccm mdomoni wanaikashfu cdm moyoni wanaipenda mpaka wanaiga mavazi ya chadema,ingekua iyariyao hata rangi ya nguo wangebadilisha iwe kichadema chadema, haaaaaaaaaaaaa,
 
Nape hana issue, hapo anamtazama huyu Mzee kwa huruma then anakwenda ndani kuwaambia wazee kuna mlalahoi huko nje anasumbua, na wazee wanamwambia mwache tu si anataka kula? Mpe elfu 5 akanywe matap tap. Sasa mtu kama huyu akipewa elfu 5 ya matap tap siku ya uchaguzi unafikiri atamchagua nani? Hawa ndiyo watakaonikosesha mimi kumteua MziziMkavu kuwa waziri wa afya kunako 2015.
 
Last edited by a moderator:
Jamaa anachukua maoni ya Rasimu ya katiba mpya ili apeleke kwa waqzee ndani ya nyumba.
 
Mkuu Dingswayo Mheshimiwa Nape Anamuonea huruma huyu Mlala hoi...............................................
Lakini atawezaje kumsaidia? Wakati chama chake hakiwezi kuwasaidia Walala hoi?..................................................Ahadi za Rais J.K hizo hapo chini..........................................

6a00d834522fa869e20120a7f14fcb970b-500wi
6a00d834522fa869e2012876f46c82970c-500wi


734010_476225495783481_164390684_n.png
 
Wakati Nape & co wana....a kwenye flush toilets ,can you imagine huyu mwenzetu mlemavu Mtanganyika!Huyu mlemavu angekuwa Ulaya,wazungu wangemjali sana!
 
Naona ma Kilimo Kwanza yamepaki tu pale kwa nyuma. Hiki chama twawala kimezidisha anasa. Hapo ni sawa na kejeli kwa huyo mabaga fresh..
 
alu langa ai mbali! mwene yena mutuka muswanu miyagwe yakisota! tutafika kweli??
 
..."akili ni nywele...", sasa hiki kichwa cha huyu rafiki mbona hazipo!?
 
Naskia hasira afu hapo atajifanya yupo sympathetic kweli na akigeuza mgongo anasahau kila kitu!
 
Back
Top Bottom