Nape akiwa chini ya mwamvuli wa CHADEMA

Nape akiwa chini ya mwamvuli wa CHADEMA

Ahahaha anatuchukia chadema machoni lakn moyoni anaikubali chadema yetu
 


Nape akihailisha mkutano mjini Serengeti baada ya mvua kubwa kunyesha, juu akiwa amejikinga mwamvuli wenye rangi za CHADEMA.
​


Jamani jamani jamani NAPE!!! yaani unauuza UCCM wako kwa kuogopa mvua tu? kwani ungenyeshewa ungeyeyuka? bado uchama haujakukaa kwenye damu wewe!
 
Yani Chadema ina umuhimu kwa mwanadamu kama oxygen ilivyomuhimu kwa kila mwanadamu.
 
hahhah!unamjua Nape unamsikia atakuja kukanusha huo mwamvuli chadema walimwekea bila yeye hufahamu....
 
Huyu anajulikana kuwa ni sehemu ya CHADEMA baada ya Kutoka CCJ. Haiwezekani kwenye siasa za ushindani kuchukua mwamvuli wa M4C. Hata siku moja Vodacom hawezi litaja jina la Tigo au airtel kwenye biashara zake. Lakini kwa Nape kila dakika lazima aitaje M4C, kwa sasa ameona aonyeshe kwa vitendo kwamba CHADEMA ndio sehemu sahihi Mwamvuli imara na kimbilio la watanzania.
 
M4C si mchezo jamaa wamekubali goli. ..
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1379959036191.jpg
    uploadfromtaptalk1379959036191.jpg
    52.6 KB · Views: 1,169
Haya ni mambo ya photo shops ama? Kama ni kweli basi CDM ni kama maji,usipoyanywa basi utayaoga tu.Big up CDM!
 
Hongera zake huyo Mwana CHADEMA alieweza kuyastiri hayo magamba...
Mvua imayaumbua... hao wana nchi nao.. miamvuli ama? Magamba yanaipenda sana CDM
 
bila kuwavutia wanachadema ni ngumu mikutano ya ccm kupata wasikilizaji,ukizingatia hali ya kifedha ni ngumu baada ya biashara haramu za ccm kudhibitiwa inakua ngumu kuwapa watu ,kofia,tshirt.pilau,malori,na buku 10,000 kila muhudhuriaji hakuna
 
Back
Top Bottom