Nape ajitokeze kumkemea Membe

Lowassa ana ugonjwa menengitis,shingo imekakamaa sana kama vile ana stroke....
 
La msingi tujiulize, alicholiongea leo Membe angepelekwa Lowasa angeweza kuongea na kua very composed kama Membe? Academically Membe yupo juu sana
 
Membe hajafanya kampeni ila katoa nondo zimeenda shule sio mchezo angekua Lowasa tungepata aibu tu
 
Kumbe nawe ulipewa nafasi ya kiupendeleo na ya kibaguzi ya ushiriki! Tayari nawe una genge lako pamoja na Nape, umekosa uzalendo kwa Taifa letu
 
Tatizo la Membe ana kiherehere! Yeye na Lowasa wanajihisi kama wao ndiyo wameumbwa ili wawe marais wa Tanzania..!
 
Iyo ndio kazi ya mbunge?
Tuanzie hapo kwanza
 
Amkemee kafanya nini?
 
Mleta mada anatuambia Nape amkemee maembe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…