Heh..makubwa..Jamani siasa ni kila mtu na maamuzi yake..hata nyie mlioko kwenye vyama vingine ni hiari yenu..kama mtu kaamua kuwa ccm vilevile ni matakwa yake we inakukera nini???sasa huo upinzani mnaousema utakuwa na maana gani kama wote tutakuwa CDM??hakuna mtu anayeishi ulaya kwa hela ya chama chochote cha siasa..!!!Kwangu mimi siamini kama kuna chama chochote sasa hivi huko Tanzania chenye uwezo wa kuleta maendeleo kila mmoja abebe tu tumbo lake mwenyewe..