Elimu ya kihindi hayo ndo madhara yake!
kama waziri tena mwenye dhamana kubwa katueleza kuwa Tanzania ilitokana na Muungano dhidi ya Tanganyika na Zimbabwe mwaka 11964 mngetegemea nini kwa Nape?
hili alilishatolea ufafanuzi mheshimiwa,ulimi uliteleza!na hyo ya mwaka alisema kuna namna nyingi ya kusema miaka kwa kiingireza,japo alikosea kibinadam.nimemaliza