Nape Aangukia Pua Bungeni

Nape Aangukia Pua Bungeni

kila mtu ana maoni yake wewe unaona likionekana lina maana wengine hawaoni mnalazimisha mnataka demokrasia then acheni pia kuwe na uhuru wa kutoa maoni sio lazima unalotaka wewe liwe na sio lazima analaotaka yeye liwe
 
CC Philipo Bikukilo.
Afya sana kwako ni kuwa hata wewe hukutarajia kuwa ndani ya bunge kuna mawaillers from mahenge ambao wananchi wao walimtuma kwa imani kubwa kwake. Hivi hitambui hata madhara ya kauli? Kusema vile "kujibebisha"bunge lingekuwa live kule jimboni kwake wangefikiri kumpigia kura ya kutokumwamini tena! Hili la pato ni kwa kila mmoja, wewe shamba , mbunge bungeni na miye mtaani wote tunaingiza kwa viwango tofauti. Tengua kauli, miye siyo nwanaharakati wala mwanasiasa. Miye ni mnasihi.
 
Nape sasa kaamua kuja kivingine anamchukua viti maalum mpaka Guest house wanakaa wee huko anamfundisha kukariri kuwa Bunge live ni sumu kwa ccm hivyo wakiingia ndani wakatae live kwa nguvu zote, mfano yule viti maalum wa jana katoka Guest kakimbilia bungeni kuropoka pasipo kutafakari kwanza, Yaani Akili za kuambiwa hakuchanganya na zake kabsa,

Ngoja spika akutake kutoa ushahidi wa hili tuone kama utapona mkuu!!!!!
 
Wewe uone usione bajeti zitasomwa na kama zinastahili kupitishwa zitapitishwa. Siku zote mnaishi na akili za kudhulumiwa na kuonewa, mnajipatia unyonge wa bure kabisa.
Nakutahadharisha tu upinzani unakua kwa kasi tunakaribia kulingana bungeni
 
Nakutahadharisha tu upinzani unakua kwa kasi tunakaribia kulingana bungeni
Kwa akili zenu hizi za kutafuta matukio halafu mkayashikia bango, mwaka 2020 itakula kwenu vibaya sana. Mnadanganyika na siasa za facebook na twitter ambazo hazifanani na reality ya huko mikoani.
 
Nape sasa kaamua kuja kivingine anamchukua viti maalum mpaka Guest house wanakaa wee huko anamfundisha kukariri kuwa Bunge live ni sumu kwa ccm hivyo wakiingia ndani wakatae live kwa nguvu zote, mfano yule viti maalum wa jana katoka Guest kakimbilia bungeni kuropoka pasipo kutafakari kwanza, Yaani Akili za kuambiwa hakuchanganya na zake kabsa,
Duuuuuuh!Hii kali mkuu.
 
Back
Top Bottom