mbongombishi
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 593
- 309
Habarini wanajukwaa.
Nina ndugu yangu anarudi Tz Jumatano (tarehe 06/07/2022). Atakuwepo Tz kwa siku 10 tu.
Huyu ndugu ana uhitaji mkubwa wa Kitambulisho cha Taifa.
Naomba mnijuze mchakato wa yeye kuufanya pindi afikapo.
Akhsanteni.