D Metakelfin JF-Expert Member Mar 23, 2017 3,160 3,259 Jul 9, 2022 #21 Anayeuza line za tigo pesa na Mpesa aje chap na bei kabisa
Shin Lim JF-Expert Member Mar 27, 2012 7,020 12,520 Sep 11, 2022 #22 rich1 said: Jaman mnao amisha pesa kutoka mtandao wa airtel money au halopesa kwenda lipa kwa Tigo kuweni makini leo mm nimeamisha 1,114,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa tigo wamenikata 15,000/=. Click to expand... Hata kulipa kutoka tigo kwenda lipa mpesa wanakata sawa sawa na kutoa pesa, tigo wana gharama sana. Lakini kulipa kutoka airtel kwena mpesa gharama ni ndogo sana karibu sawa na mpesa to lipa mpesa.
rich1 said: Jaman mnao amisha pesa kutoka mtandao wa airtel money au halopesa kwenda lipa kwa Tigo kuweni makini leo mm nimeamisha 1,114,000/= kutoka airtel money kwenda lipa kwa tigo wamenikata 15,000/=. Click to expand... Hata kulipa kutoka tigo kwenda lipa mpesa wanakata sawa sawa na kutoa pesa, tigo wana gharama sana. Lakini kulipa kutoka airtel kwena mpesa gharama ni ndogo sana karibu sawa na mpesa to lipa mpesa.
Shin Lim JF-Expert Member Mar 27, 2012 7,020 12,520 Sep 11, 2022 #23 D Metakelfin said: Anayeuza line za tigo pesa na Mpesa aje chap na bei kabisa Click to expand... Ni buree, wasiliana na vodacom.
D Metakelfin said: Anayeuza line za tigo pesa na Mpesa aje chap na bei kabisa Click to expand... Ni buree, wasiliana na vodacom.
J John7371 JF-Expert Member Apr 29, 2018 2,994 6,641 Sep 11, 2022 #24 rich1 said: Je kwa upande wa lipa kwa mpesa ukitoa nao wanakata??? Click to expand... Ina charges lakini kidogo sana, na kwenye kutoa njia ya kuepuka makato makubwa ni kuhamishia benki ndo utoe
rich1 said: Je kwa upande wa lipa kwa mpesa ukitoa nao wanakata??? Click to expand... Ina charges lakini kidogo sana, na kwenye kutoa njia ya kuepuka makato makubwa ni kuhamishia benki ndo utoe