Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,981
- 4,115
Habari za humu wakubwa,,nirudi kwenye mada kuna kipindi cha radio free kinaitwa " sitosahau"
Kipindi kile watu hualikwa kwenda kuelezea historia zao na misoto waliyopitia, kuna jamaa anaitwa zabron aliwahi kuelezea sitosahau yake jinsi alivopelekwa Gambosh ,, story yake niliiskilizaga miaka ya nyuma alipokua akielezea nikaskia alitoa mpaka kitabu chake..
Naomba kwa anaefahamu au zabron kama upo humu kile kitabu nakipataje ?
NB. kama haufahamu au ww ni mtu blaa blaa na kukashfu nyuzi za watu ,, natoa tahadhari mapema usijichanganye hapa