Traveller X
JF-Expert Member
- May 2, 2017
- 271
- 305
nakubali kiongoziKuna kupanda na kushusha, nadhani yuko katika kipindi cha mpito...
tuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamondDiamond anawaza mbali sana... Anajua Marry you bado inasumbua sana nchi za nje, hivyo hizi nyimbo ametoa kupunguza kiu ya mashabiki tu, ila naamini kuna kitu kikubwa anaandaa ila muda wake bado... by the way nyimbo nzuri!
Nigeria wasanii wanabebana sana ndio maana wanafanikiwa... hawana team za kijinga kama TZ yetu mkuu...tuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamond
kabisa mkuu,Natamani wasanii wetu wangekua kama wenzetu,tungekua mbali sanaNigeria wasanii wanabebana sana ndio maana wanafanikiwa... hawana team za kijinga kama TZ yetu mkuu...
wanigeria wanatupiga gape lakin,Ukipanda ngazi unaelekea wapi au hautoshuka?
Usiulize ni kwa nini!ukitaka njoo jiungeNaomba nikiri kwamba me ni shabiki namba moja wa Diamond,Lakini dah! kiukweli kwa ule ukimya wa mda mref kutoka kwa diamond nilitegemea akirudi safari hii hatakua level zile tulizomzoea za kufanya kolabo na wasanii wa nigeria, Nilitegemea huu upepo walionao kina Davido ama Wizkid ungemuamsha na kwenda level za mbali zaidi lakini badala yake ameniangusha na amerudi kule kule nigeria, Dah!
Yani ile juzi niliposkia Kua kesho yake diamond ataachia hit nikajua kama sio feature Alicia Keys basi itakua ni French Montana ili kuzima ule upepo wa wakina davido na wizkid maana kusema ukweli kwasasa wanigeria wanazidi kuongeza gape kati yao na sisi tofauti na kipindi cha nyuma kidogo.
anyway,yote kwa yote nimpongeze kwa hit nzuri aliyoiachia japo haijakuna mtima wangu haswa lakini nashkuru kwa Kuliamsha Dude maana na najua wasanii wengine nao watafuata kuachia hit kwakua kaka mkuu kashaliamsha DUDE.
Nilidhani unamaanisha Mungu! Kumbe mungu.tuombe mungu aachie kitu soon cha kuwazima wakina davido,roho inaniuma sana kuona wale jamaa wanatupiga gape wakati walikua level moja tu na diamond
dogo kamaliza,kafika mwisho,game haikuachi uzidishe miaka 10Subiri first eleven yake waje na mapovu.
Mimi binafsi naiona Diamond uwezo wake wa kimuziki unashuka kwa kasi kubwa.
Anyway, tusubiri muda utasema.
huyo davido hakuna kitu,wanigeria wenyewe wazinguaji tuwanigeria wanatupiga gape lakin,
Nilidhani Unamaanisha MUNGU.kumbe Mungu ok sawa mrekebishaji na mrekebishwa wote hamko sawa.Nilidhani unamaanisha Mungu! Kumbe mungu.