mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,179
CT SCAN moja inacost 700,000 dollars ni mwongo mkubwa na anastahili kuwajibishwa na rais wake kwa kumdanganya.
Hiyo ni makusudi kiongozi....wanajua bei halisi lakini ili kuwadanganya wananchi ambao walio wengi wanaishia kumsikiliza ''dhaifu'' lazima waweke bei kubwa ionekane wana mzigo mkubwa. Hata kama ni kutii mamlaka zilizowekwa hii mamlaka haifai na kwanza ilijiweka madarakani
MKUU NAWEWE UNATAKA TUKUAMINI TUU BILA KUTUPA SOURCE YA BEI ZAKO MKUU!
TUTAJUAJE KAMA HAUJATOA KICHWANI MWAKO @Eeka Mangi
elewa kuwa kunnunua tu CT SCAN siyo issue bali jumlisha na maandalizi ya mahali itakapowekwa hivyo ni muhimu kama hapa chini inavyojionyesha
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
hii pia inaonyesha kwamba matatizo mengi tuliyonayo yana majibu lakini tumebakia kwenye msamiati wetu maarufu wa "wasaidizi wake ndio wanamdanganya", ni kwa nini asiseme 'sidanganyiki'!???Serikali hainunui vitu kwa bei ya kawaida, kwani huwa wanaongeza walau maradufu kupata kitu kidogo. Hukusikia ofisi moja walinunua mayai kwa bei ya Tsh 8,000 kila moja na hakuna aliepelekwa jela japo kamati ya bunge iligundua wizi huo.Pathetic!
elewa kuwa kunnunua tu CT SCAN siyo issue bali jumlisha na maandalizi ya mahali itakapowekwa hivyo ni muhimu kama hapa chini inavyojionyesha
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
elewa kuwa kunnunua tu CT SCAN siyo issue bali jumlisha na maandalizi ya mahali itakapowekwa hivyo ni muhimu kama hapa chini inavyojionyesha
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
There is also the cost of the Tomography room where the unit sits in. It consists of specialty HVAC system that provide perfect humidity and temp.control. Also specail independent electrical circuits to power the equipment, and RAM (radio absorbent)materials for the walls. The cost of a CT room can varry from $250,000- $750,000.
@Eaka Mangi,
CT SCAN sio kama Fotocopy mashine ukinunua peke yake unaanza kuitumia..