Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 486
MKUU NAWEWE UNATAKA TUKUAMINI TUU BILA KUTUPA SOURCE YA BEI ZAKO MKUU!
TUTAJUAJE KAMA HAUJATOA KICHWANI MWAKO @Eeka Mangi
Nilisikiliza kiasi hotuba ya rais wa JMT brother JMK jana! Alijaribu kuremba sana ingawa kwa kiasi kikubwa hakuweza kuridhisha hadhara ya Watanzania kuhusu matatizo mbalimbali.
Labda niseme tu kuwa Mtendaji ama watendaji waliompelekea kimemo pale mezani na kumdanganya Rais kuwa CT SCAN moja inacost 700,000 dollars ni mwongo mkubwa na anastahili kuwajibishwa na rais wake kwa kumdanganya. Nikiwa kwa kiasi fulani ni mdau wa afya, nimefuatilia hili na nikagundua kuwa hardly CT SCAN ghali kabisa ni 300,000USD. Tuangalie tunapotoa data ambazo sio za kweli wananchi watawaelewa vipi.
Hata hivyo utetezi wa kuwa mwenye kujua pa kununulia hiyo CT ambayo ni sawa nabei ya kilimo kwanza moja sio mzuri as angejibu tu kuwa angetuma wataalamu wafuatilie madai hayo. Kujibu kwa ujumla namna ile ni sawa na kuiamini source ya information yake ambayo sio sahihi
Below are prices of some CT(COMPUTE TOMOGRAPHY)
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
Naomba kuwasilisha
EM
Kauli yake ya jana kama kuna mtu anajua aweza pata CT-SCAN kwa bei sawa na V8 aende atampa tenda ya kusupply.So mkuu do the needful
Ha ha ha kama angekuwa mtu wa kutimiza ahadi angekuwa ni mtu safi ever! Ataishia kucheka cheka tu mkuu. He knows the fact lakini anawafanya watanzania bado ni wale watoto wa miaka ile waliokuwa wanaambiwa wototo hudondoshwa na ndege!
kauli yake ya jana kama kuna mtu anajua aweza pata ct-scan kwa bei sawa na v8 aende atampa tenda ya kusupply.so mkuu do the needful
mkuu unaweza hata wewe ku google tu its not that hard bana pata hata hapa how much does ct scan machine cost
need to say more kiongozi?
Em
Nilisikiliza kiasi hotuba ya rais wa JMT brother JMK jana! Alijaribu kuremba sana ingawa kwa kiasi kikubwa hakuweza kuridhisha hadhara ya Watanzania kuhusu matatizo mbalimbali.
Labda niseme tu kuwa Mtendaji ama watendaji waliompelekea kimemo pale mezani na kumdanganya Rais kuwa CT SCAN moja inacost 700,000 dollars ni mwongo mkubwa na anastahili kuwajibishwa na rais wake kwa kumdanganya. Nikiwa kwa kiasi fulani ni mdau wa afya, nimefuatilia hili na nikagundua kuwa hardly CT SCAN ghali kabisa ni 300,000USD. Tuangalie tunapotoa data ambazo sio za kweli wananchi watawaelewa vipi.
Hata hivyo utetezi wa kuwa mwenye kujua pa kununulia hiyo CT ambayo ni sawa nabei ya kilimo kwanza moja sio mzuri as angejibu tu kuwa angetuma wataalamu wafuatilie madai hayo. Kujibu kwa ujumla namna ile ni sawa na kuiamini source ya information yake ambayo sio sahihi
Below are prices of some CT(COMPUTE TOMOGRAPHY)
the compute tomography machine costs depends upon the technology systems
siemens ------------------200000 usd approx
toshiba -------------------180000 usd approx
beckam coulter------------250000 usd approx
sharp------------------------200000 usd approx
ge----------------------------300000 usd approx
phillips ----------------------140000 usd approx
Plus software and technician time. We just got a new siemens definition and its costing 450k (minus software upgrades) so that 200k is really low ball.
Naomba kuwasilisha
EM
Hotuba ya Mwisho wa mwezi kupitia kwa wahaririMaswali ambayo bado yananitatiza ni kujua dhumuni la ile press conference ilikuwa nini?what was the Substance in that meeting if i may ask?:eek2: