Basi watafute highlife UpangaSijui jinsi ya kuagiza na siwaaminigi hawa ali express
Wako Upanga. Ingia instagram search Highlife TanzaniaSako wapi hawa
Nenda AliExpress kama wataka unafuu.. otherwise usilalamike bei za bongoOk asante
Nishakwambia kabla bei zao ni Mkasi so agiza tu kama huwezi wape chao wahindi maana wapo kibiashara zaidiAmna sehemu nyingine boss maana majamaa nei zao ni juu balaa