Napata wapi Xiaomi Android TV Box

Napata wapi Xiaomi Android TV Box

farujoni

Senior Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
189
Reaction score
247
Hi,

Mnayoiona hapo ni Xiaomi Mi Box S Android Tv ambayo inaipa televisheni yako uwezo mzuri wa kuwa Smart TV au hata kama smart, inakupa futures ambazo usingeweza kuzipata kwenye Smart TV.

So nilikuwa nauliza wapi naweza pata hii device au atanisaidia kuweza kupata kwa hapa Tanzania?

Nitashukuru kama nitaweza kusaidiwa.

images.jpeg
tv-box-smart-xiaomi-mi-box-s-4k-internacional-2gb8gb-2019-D_NQ_NP_697655-MPE32059663976_09201...jpeg
 
farujoni,
Hizo ni za kujiagizia tu uchina. Ila kama unataka nipe nikupe, waone wahindi wa Highlife pale Upanga, ila bei zao ni mkasi.
 
Nina shida nayo sema Ali Express mimi siwaamini kabisa na sijui jinsi ya kuagiza
 
Kenya mi store ipo ila hawatumi kabisa mizigo
 
Kama walivyo sema wengine hapo juu, Agiza mi box aliexpress tu ujifunze ulimwengu wa online, tena nakumbuka yangu ilifika baada ya wiki. Muhindi anaziuza 255k, wachina pamoja na usafiri hadi Tanzania haivuki 165k (hii ni store yenye reviews nzuri kuliko zote) . Chaguo ni lako.
20191029_231804.jpeg
Screenshot_20191029-231515.jpeg
 
Mtafuten High life Tanzania anapatikana Upanga Dar, mtafute kwa facebook high life tanzania .
 
High life Tanzania anapatikana Upanga mcheko ila gharama zake ziko juu
Screenshot_2019-10-30-08-18-59-25.jpeg
 
Jambo jengine la muhimu unahitaji box lenye android Tv, na sio miui, kuwa makini na software ambayo ipo ndani ya box.
 
Nashukuru wote mlionisaidia nimipata hii box ya xiaomi ni nzuri na nimeipta kwa bei rahis compare na wanayoisema hapo kikubwa ni uwezo wako wa kubergain
 
Back
Top Bottom