Napata wapi mti kama huu jamani?

Sijambo! ukiuza nyumba utaniambia nikuelekeze bar yenye madem wakali[emoji1] [emoji1] [emoji1] !

Ok poa lakini itakuwa vema na haki tukianzia na hawa hawa visababishi..unanamba ya simu ya yeyote kati ya hao watatu hapo? Ten pacent yako iko pale pale kwa kila hatua
 
Hawa viumbe wa dizaini hii ni moja kati ya nyanja kuu za ukoloni mambo leo...nipo tayari kununua mti katikati kwa kiwango chochote nitakachopangiwa
 
duuh..ivi kwanini mimi mzee wenu na pekua pekua huku kwa vijana ona sasa nimeshaanza kumuwazia tofauti huyo mjukuu wangu mwenye rasta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…