Napata wapi mti kama huu jamani?

mweee hapo unapiga kazi mpaka kesho akikuona asikuangalie kwa macho mawili akuangalie kiupande upande
 
We uzaga tu mwaya maana hakuna namna sasa.

Kweli hakuna namna ya kuwadonoa bila hela na kuwaacha ni dharau kubwa mno mno.
Ila twende mbele turudi nyuma ee huko nyuma wanaume tunafaidi aisee yaani tunafaudu kinoma
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…