Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.
Wakuu natafuta karabai 3 moja niitundike kibaraza cha mbele, moja kibaraza cha uani, nyingine ikae sitting room. Huu umeme wa TANESCO naona kabisa hauna connection na mizimu.View attachment 3416919