BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,321
- 11,315
Kama huna Hela ya mawazo nenda raha, Wana hadi link ya 1GBps.Hello, wataalamu wa tech kwa ujumla, niambieni ni nani au wapi ntapata provider mzuri mwenye internet yenye speed kali?
Au mtandao gani wa simu au kampun gani naweza kupata hizi router au modem ambazo zina speed kubwa, mfano kuna mahali nilipita nikakuta kuna internet ilikua na 75 mbps, nilishangaa sana, sema nilikua na mishe sikuweza kufuatilia.
Nimelazimika kutaka kujua hili mana naona hizi kampun pendwa za simu ni michosho tu na wengine wanatuhumiwa kua ni wezi wa vifurushi kwaio its just chaos tu, its funny kuona unasubiria dakika 1 au mbili file la MB 6 au 12 liwe downloaded, siwezi aisee.
Nawasilisha.
Kama huna Hela ya mawazo nenda raha, Wana hadi link ya 1GBps.
Hahahahaha huu utani sasa, unajua maana ya 1GBps?Kama huna Hela ya mawazo nenda raha, Wana hadi link ya 1GBps.
Hv unaweza kumwambia hivyo chief kwenye jukwaa la tech yeye ndio mtaalam arafu wengine wanafuataHahahahaha huu utani sasa, unajua maana ya 1GBps?
-simbanet wanatoa bandwidth kuanzia 1mbps mpaka 10Gbps (1.25GBps)Hahahahaha huu utani sasa, unajua maana ya 1GBps?
Tembelea ofisi za NASA pale magogoni
-simbanet wanatoa bandwidth kuanzia 1mbps mpaka 10Gbps (1.25GBps)
Source
-raha wanayo 1GBps link nimeona vipeperushi vyao,
-Ttcl wao wanatoa Hadi Mamia ya Gbps
Kwa ulimwengu wa Sasa mkuu 1GBps Ni kitu kidogo sana, wengi wetu tumezoea mitandao ya simu ndio maana tunaona vitu vya ajabu Ila Kuna nchi 1GBps Ni dola chini ya 40.
Btw mkonga wetu (seacom) umekuwa designed kwa 12Tbps na kwa Sasa Kama 500gbps inatumika.

Hello, wataalamu wa tech kwa ujumla, niambieni ni nani au wapi ntapata provider mzuri mwenye internet yenye speed kali?
Au mtandao gani wa simu au kampun gani naweza kupata hizi router au modem ambazo zina speed kubwa, mfano kuna mahali nilipita nikakuta kuna internet ilikua na 75 mbps, nilishangaa sana, sema nilikua na mishe sikuweza kufuatilia.
Nimelazimika kutaka kujua hili mana naona hizi kampun pendwa za simu ni michosho tu na wengine wanatuhumiwa kua ni wezi wa vifurushi kwaio its just chaos tu, its funny kuona unasubiria dakika 1 au mbili file la MB 6 au 12 liwe downloaded, siwezi aisee.
Nawasilisha.
Hello, wataalamu wa tech kwa ujumla, niambieni ni nani au wapi ntapata provider mzuri mwenye internet yenye speed kali?
Au mtandao gani wa simu au kampun gani naweza kupata hizi router au modem ambazo zina speed kubwa, mfano kuna mahali nilipita nikakuta kuna internet ilikua na 75 mbps, nilishangaa sana, sema nilikua na mishe sikuweza kufuatilia.
Nimelazimika kutaka kujua hili mana naona hizi kampun pendwa za simu ni michosho tu na wengine wanatuhumiwa kua ni wezi wa vifurushi kwaio its just chaos tu, its funny kuona unasubiria dakika 1 au mbili file la MB 6 au 12 liwe downloaded, siwezi aisee.
Nawasilisha.
Njoo halotel hutajutia
Habari node
-simbanet wanatoa bandwidth kuanzia 1mbps mpaka 10Gbps (1.25GBps)
Source
-raha wanayo 1GBps link nimeona vipeperushi vyao,
-Ttcl wao wanatoa Hadi Mamia ya Gbps
Kwa ulimwengu wa Sasa mkuu 1GBps Ni kitu kidogo sana, wengi wetu tumezoea mitandao ya simu ndio maana tunaona vitu vya ajabu Ila Kuna nchi 1GBps Ni dola chini ya 40.
Btw mkonga wetu (seacom) umekuwa designed kwa 12Tbps na kwa Sasa Kama 500gbps inatumika.
Mim nilitaka kujua maana ya 1GBps ni nini !Hv unaweza kumwambia hivyo chief kwenye jukwaa la tech yeye ndio mtaalam arafu wengine wanafuata