Napata wapenzi wakubwa kiumri

tatzo huna hela mkuu, hao waliokuzid umri wanakuonea huruma, ndo mana inakua virahisi san kuwapata.. na unakuta ww mwenyew una vocal(verse) za kizee teh teh kwahyo utapata wazee
hivi nynyi vjana huwa hamchomekei sio inabd nianze kuvaa mtepesho twende sawa[emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu unakuwa na confidence kuwatongoza hao kuliko wa rika lako au wa chini yako.
😀😀
 
Hilo sio tatizo lakini... Hiyo difference ni ndogo mno.. Isikupe mawazo
Jr[emoji769]
 
Bora ww 2 au 4. Mwenzio ni kuanzia 5 mpka 10
Habari Mkuu?

Nilikuwa napitia comments ili nione kama utamshauri mwenzako aupitie uzi wako uliotoa nondo kuhusu hili. Bahati mbaya nawe muathirika. Pole sana, nawashauri wote mkaupitie uzi huu;
 
kweli shukran

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado una umri mdogo ila unataka mambo makubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…