NAPATA UJUMBE WA MAANDISHI FROM UNKNOWN PERSON.

Echolima

JF-Expert Member
Oct 28, 2007
3,826
2,057
Ni kipindi sasa napata ujumbe sms kutoka kwa mtu asiyejulikana sms hizo zinatoka jwenye namba 4636 na haipo kwenye contact zangu.Au simu yangu imekuwa Hacked na wajanja??
IMG_8220.JPG
 
Ni kipindi sasa napata ujumbe sms kutoka kwa mtu asiyejulikana sms hizo zinatoka jwenye namba 4636 na haipo kwenye contact zangu.Au simu yangu imekuwa Hacked na wajanja??View attachment 956613
Hiyo ni aina mpya ya utaperi,unatumiwa hiyo msg halafu unaomba msaada mtu anakwambia piga namba hiyo ili usaidiwe,hapo ndio unapo pigwa.
 
Yabidi kuwa makini sana hasa kipindi hichi cha Sikukuu, Leo tuu mother house wa Kaya ninayo ishi kapigwa 250K sijui walijua vipi wale jamaa Yani muda mchache tuu katumiwa hela mpesa jamaa waka mpigia kwamba ameshinda droo sijui ya makitu gani baada ya kutumiwa, kaambiwa ingiza number flani flani mwishowe ana cheki Muamala hamna hata 100...
 
Back
Top Bottom