Nina Computer ana ya Dell yenye window xp ilikuwa na kespersky 2013 nikaunstall il niweke kespesky 2014 kila nikijaribu kuinstall inaniletea sms hii " error occured during installation of microsoft.net 4.0" Nifanyeje wadau il niweze kuinstall, msaada
nina computer dell yenye window xp ilikuwa na kespersky 2013 nikaunstall il niweke kespesky 2014 kila nikijarb kuinstall inaniletea sms hii " error occured during installation of microsoft.net 4.0" Nifanyeje wadau il niweze kuinstall,msaada
# Download na install kwanza .NetFrame work v4 katika PC yako
# Latest version ni 4.5.2 hii ichukue hapa >>| .NET Framework Version 4.5.2 Download for Windows / FileHorse.com
# Baada ya kufanya installation ya DotNetframework, Fanya installation ya KASPERSKY itakubali bila hiyo error uliyokuwa ukipata awali.