Gushleviv JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 3,457 Reaction score 5,325 Jun 6, 2022 #1 Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini Sababu ni nini? Cc: Moderator
Nikifungua uzi mmoja napelekwa kwenye Uzi mwingine. Mfano nikifungua/niki click uzi huo wa Forum ya JF Store, unafunguka uzi wa forum nya Ujasiriamali. Badala yake unafunguka uzi huu hapa Chini Sababu ni nini? Cc: Moderator