Napata message SMART CARD NOT PRESENT (HP compaq nw8240)

Teja Junior

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
1,740
Reaction score
1,597
Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea akainyezea kidogo ikawaka lakini bado ikawa inaleta msg nilio isema hapo na fundi kasema amechemka tatizo sasa nimekuja humu kuomba msaada hapa laptop kuleta smg ka hii inaweza kupona au ndio bye bye kama mnaweza saidia nitashukuru

Noomba Msaada wenu wakina Chief-Mkwawa na wengine naomba msaada wenu nini kifanyike
 
Inamana ilikuwa na king'amuzi ndani!? Au wamaanisha Dongle
 
Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea akainyezea kidogo ikawaka lakini bado ikawa inaleta msg nilio isema hapo na fundi kasema amechemka tatizo sasa nimekuja humu kuomba msaada hapa laptop kuleta smg ka hii inaweza kupona au ndio bye bye kama mnaweza saidia nitashukuru

Noomba Msaada wenu wakina Chief-Mkwawa na wengine naomba msaada wenu nini kifanyike
Kuna mahala nimeone solution ila kama my alikuwa ana troll hivi.

Wakati wa kuwasha gusa touchpad kwa nguvu bila kuachia inaweza kuwaka kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom