Jamani hawa TCU wazinguaji maana jana kipindi nalog in niki add o level sitting inagoma. Leo tena wananiambia eti majina ya cheti cha private candidate na school candidate yapo tofauti wakati majina kwenye vyeti yapo sawa.
jamani hawa tcu wazinguaji maana jana kipindi nalog in niki add o level sitting inagoma leo tena wananiambia eti majina ya cheti cha private c na school c yapo tofaut wkt majina kwenye vyeti yapo sawa. sasa sijui tatizo ni nini