Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Salama wakuu kuna laptop hapa aina ya HP Compaq nw 8240 inatatizo ukiwasha inaleta msg kuwa SMART CARD NOT PRESENT jamaa anasema mwanzo haikuwa hivi ilizima tu haikuwaka akaipeleka kwa fundi nea akainyezea kidogo ikawaka lakini bado ikawa inaleta msg nilio isema hapo na fundi kasema amechemka tatizo sasa nimekuja humu kuomba msaada hapa laptop kuleta smg ka hii inaweza kupona au ndio bye bye kama mnaweza saidia nitashukuru
Noomba Msaada wenu wakina Chief-Mkwawa na wengine naomba msaada wenu nini kifanyike
Noomba Msaada wenu wakina Chief-Mkwawa na wengine naomba msaada wenu nini kifanyike