nilianzia hospitali ya mkoa iringa, nikaenda zahanat moja mbeya ipo meta, nikaenda kcmc nililazwa pale, nikarud moro kituo flan kinaitwa st harry, nikaenda hydom kuna hospital ina chuo hapo hapo na sehem zote hizo napewa majibu naambiwa uje baada ya miez3.
Huyo mpenzi wako hakupendi na.possibly kuna siri kubwa anakuficha.........kaa naye vizuri umshawishi mkapime nyote kama akikubali basi yupo salama but trust me hatakubal and that means she does not deserve you coz hana ujasiri wa.kukushirikisha yanayomsibu na yawezekana pia anataka kukuua ili asife mwenyewe....
Wabongo bwana mnaacha kukemea uzinzi mnakazana kuyoa ushauri mwingine wa sijui mkapime wote, mara majibu hutolewa hapo hapo n.k.
Mkuu ikimbie zinaa wala hutaishi kwa uoga na wasiwasi kama ulionao kwa sasa...
Ukimwi unaua na kondomu ni jezi ya wazinzi.
Mbona hilo Simpo mkubwa!. we si ulipima? Je ulipima hospitali gani? utaratibu wa kutoa majibu unatofautiana hospitali na hospitali...kama umepima maabara za kawaida Mara Nyingi majibu ni Papp hapo tena pengine bila ushauri Nasaha. ukibugi kuna hospitali nesi anaweza kukukimbilia na kukuambia kabla ya kupata majibu rasmi ya dokta na kukuambia " Dah una bahati kweli Jamani, mimemsika Dokta upo postive aisee, mshukuru Mungu"hapana mkuu, hofu sina! Lengo ni kujua kama kweli hospitali hii ina huu utaratibu maana ni mgeni kwangu,.
Basi kunatofautiana mimi nipo dar na ninajua kituo cha amref na hospitali ya kairuki hawakuandikii majibu wanakwambia tu kwa mdomo kama ni positive au negative ila wanakuandikia kikaratasi cha tarhe ya kurudia kupima basi, sasa cjui hospitali zingine huwa wanafanyaje
kwan umepima mara ngap tangu uanze kupata vpimo hvyo?
Mara 3 tu
sasa hvi nenda hospital nyingne tofaut na hapo sawa miss+black beauty..........
Nikafanye nini? Nimeshapima imetosha
jamani na mimi nataka kwenda kupima kama nimeathirika!
Tafadhari mna chochote cha kunishauri?
Yuko sawa kabisa,kama unabisha nenda zahanati ya chuo kikuu cha dsm uone kama utapewa majibu yako kwa kupima mara moja,ni mpaka mara tatu ndo unapewa majibu kamili,,watu wengine wanajiandikia tu hapa,point ya msingi ni kwamba watu wengi wa jf ni waongo mpaka basi.