Kaka the Boss,
Juzi yamenitokea ya kunikuta,
kiukweli sikuchelewa kutupa kule....lol...
jumatatu ya leo imekaa kama ijumaa lol
vingine huwa ni vya uongo..tunaamua kupretend tu
na we ujione unajua kuitumia storongo yako kumbe hakuna lolote
Uongo mbaya wadau wangu,
yawezekana hizi zikawa ni hisia zangu tu,
lakini nimeona bora niseme...lol...
''Jamani najisikiaga raha sana, unapokuwa na mupenzi faragha (mtoto wa kike)
halafu akawa anakudatisha kwa vijisauti vya kujiliza wakati mna du....lol...,
yaani hata kama ni vya uongo, basi wewe nidanganye danganye tu......
Vinginevyo, vya kibubu bubu siviwezi mie...sichelewi kutupa kuleeeeee
mtanisamehe bure''
wahanga wenzangu, najua mpo,
kwa akina dada sijui hisia zao, labda nao wanaweza funguka........
Jioni njema, Mbarikiwe sana!!!!!!
Neylu.......,
wewe hata miguno ni adimu jamani....usifanye hivo lol..
Hahahaaa..... Mie sio miguno bali ni mayowee kabisaaa..!
mnhhhhhhhhhhh
Kelele hizo hizo mku zimeshawagharimu watu sana ndoa na mahusiano yao.
Yaani akisikia tu hiyo miguno europeans haaaooo! na kurudi tena jukwaani ni mshikemshike.
so nashauri wale wahanga wa sauti hizi wawe wanaenda na helment ikiwezekana.
mnhhhhhhhhhhh
Unaguna nini? Wewe kwani hupendi Mayowe?